New New
AfromediaTz.... Tunawakaribisha wasanii & wadau wote wa muziki kushare kazi zao za sanaa katika email hii dickson26m@gmail.com. Muda si mrefu tutanza kuweka na kupromote kazi zao sharing is caring..Tunapokea kazi za mitindo yote Bongo Flavour,Singeli,Gospel,Hip Hope&Raggae.